Winga hatari wa Simba Luis Miquissone anatarajiwa kurejea nchini kesho Jumatano kuwahi maandalizi ya mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Namungo Fc
Mchezo huo utapigwa Jumapili, August 30 uwanja wa Sheikh Amri Abeid mkoani Arusha
Miquissone alipewa ruhusa maalum kwenda kufunga ndoa
Ruhusu kama hiyo alipewa beki kisiki Paschal Wawa ambaye naye amekamilisha jambo hilo siku ya jana

Wawa huenda akatua siku ya Alhamisi tayari kwa maandalizi ya mwisho kuelekea mechi ya Namungo
Licha ya kukosekana wachezaji hao, kwa usajili uliofanywa na mabingwa hao wa nchi, timu haionekani kuwa na mapungufu yoyote
ADVERTISE HERE