Kichuya aanza majukumu yake Namungo Fc

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
24 Aug 2020
Kichuya aanza majukumu yake Namungo Fc

Kiungo mshambuliaji Shiza Kichuya jana alianza kuitumikia Namungo Fc kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Azam Fc ambao ulipigwa uwanja wa Azam Complex, Chamazi

Simba imempeleka Kichuya Namungo Fc kwa mkopo baada ya kukosa nafasi kwenye kikosi cha kwanza cha mabingwa hao wa nchi

Hii ni nafasi kwake kuweza kuimarisha kiwango chake, pengine anaweza kurudishwa kundini pale mkopo wake utakapomalizika

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
34m ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
18h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’