Baada ya ushindi wa mabao 6-0 dhidi ya Vital'o juzi, siku ya jana ilikuwa maalum kwa ajili ya kuwapongeza wachezaji, hafla hiyo maalum ikiwajumuisha wachezaji wote wa kikosi cha kwanza, timu ya Wanawake ambao ni mabingwa wa ligi kuu ya Wanawake na wageni kikosi cha Vital'o











ADVERTISE HERE