Jana usiku kikosi cha Simba kilihudhuria mwaliko nyumbani kwa Balozi wa Uturuki Ali Davotuglu aliyewaalika kupata nao chakula cha usiku.
Msafara huo wa Simba uliongozwa na Kaimu Rais wa Simba, Mr Salim na mwekezaji wa klabu ya Simba Mohammed Dewji. Pia alikuwepo Mkuu wa Idara ya habari Haji Manara, wachezaji na benchi la Ufundi.
Aidha katika hafla hiyo, mlinda lango Aishi Manula alikabidhiwa tuzo ya mchezaji bora wa Simba wa mwezi Disemba 2017.

Hafla hiyo ilifanyika Osterbay nyumbani kwa balozi Mr Davotuglu.

ADVERTISE HERE