Kama hukufika uwanja wa Mkapa kushuhudia mbashara kilele cha wiki ya Mabingwa, Simba Day ni wazi umekosa burudani ya aina yake
Katika moja ya matukio ya kusisimua ni pale Mwanamuziki Diamond Platinumz akiongozana na Msemaji wa Simba Haji Manara waliposhuka dimba la Mkapa wakiwa katika chopa
Hili ni tukio la kihistoria kutokea katika ardhi ya Tanzania..!



ADVERTISE HERE