Leo uwanja wa Taifa wa Benjamin Mkapa ni wazi utafurika mapema kutokana na idadi kubwa ya mashabiki wanaoendelea kumiminika tayari kwa tukio la Simba Day linalotarajiwa kuanza kwa burudani za wasanii mbalimbali
Tangu majira ya saa nne mashabiki walianza kuingia uwanjani, mpaka kufikia saa nane uwanja huo unaweza kufungwa na kwa wale watakaokosa nafasi wataingia uwanja wa Uhuru







ADVERTISE HERE