Mida ndio hii Wanamsimbazi tujongee pale uwanja wa Mkapa na Uhuru tayari kuweka Historia nyingine katika ardhi ya Taifa hili
Simba Day ya mwaka huu imepambwa na mambo mengi, Burudani zinaanza mapema kabisa
Leo Bosi Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' ameahidi kutakuwa na sapraizi kwa Wanamsimbazi

ADVERTISE HERE