Simba Day ya Kihistoria leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
22 Aug 2020
Simba Day ya Kihistoria leo

Mabingwa wa nchi Simba leo wana jambo lao pale uwanja wa Mkapa na Uhuru watakapohitimisha kilele cha wiki ya Mabingwa, kwa tukio la historia SIMBA DAY

Leo Simba imepania kuandika historia mpya kwa kuwakutanisha mashabiki wa Simba zaidi ya 90,000 katika viwanja vya Mkapa na Uhuru

Kabla ya mchezo wa kutambulisha kikosi dhidi ya Vital'o ambao utapigwa saa kumi jioni, mapema kutakuwa na Burudani kutoka kwa Wasanii mbalimbali lakini kubwa zaidi Diamond Platinumz maarufu kama SIMBA, atakuwa na takribani saa moja ya kutoa burudani kwa Wanamsimbazi

Diamond ameandaa wimbo maalum kwa ajili ya klabu ya Simba. Wimbo huo aliuzindua juzi na leo atakuwa na nafasi ya kuutambulisha mbele ya mashabiki wa mabingwa hao wa nchi

Hii hapa Ratiba ya mtiririko wa Matukio ya leo;

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
13h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’