Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba jioni ya leo kimekamilisha maandalizi kuelekea mchezo dhidi ya Vital'o ambao utapigwa kesho Jumamosi kwenye uwanja wa Mkapa
Simba imefanya mazoezi yake ya mwisho kwenye dimba la Mkapa tayari kwa tukio la kuhitimisha wiki ya Mabingwa hapo kesho




ADVERTISE HERE