Kichuya awa kivutio mazoezini

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
2 Feb 2018
Kichuya awa kivutio mazoezini
Winga Shiza Kichuya ni mmoja wa wachezaji wanaon'gara katika mazoezi ya kikosi cha Simba ambayo sasa yanafanyika kwenye uwanja wa Uhuru.

Kichuya amekuwa akijituma kwenye mazoezi hayo na kuepelekea kupigiwa makofi kila anapogusa mpira na mamia ya mashabiki wanaohudhuria mazoezi

Mara baada ya kumalizika kwa mazoezi ya jana, kundi la watoto pamoja na watu wazima walimvamia Kichuya na kutaka kumbeba kumpeleka kwenye basi la timu hiyo.

Mwenyewe amefurahia hali hiyo na kudai inampa hamasa ya kufanya mambo makubwa zaidi.

"Kwangu hii ni hamasa kubwa, hii itanifanya nijitume zaidi mazoezini ili kwenye mechi niisaidie timu yangu ipate ushindi,"alisema Kichuya.

Alisema, anajipanga kuhakikisha Simba inapata ushindi kwenye mchezo wao wa Jumapili dhidi ya Ruvu Shooting utakaochezwa kwenye uwanja wa Taifa.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’