Sven awaita mashabiki uwanja wa Mkapa SImba Day

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
21 Aug 2020
Sven awaita mashabiki uwanja wa Mkapa SImba Day

Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck amewaita mashabiki wajitokeze kwa wingi uwanja wa Mkapa siku ya kesho Jumamosi kwenye kilele cha wiki ya Mabingwa, Simba Day

Akizungumza na wanahabari kuelekea mchezo dhidi ya Vital'o hapo kesho, Sven amesema siku hiyo itakuwa ya furaha kwa kila Mwanasimba

"Mchezo wa kesho ni wa kufurahia kwa mashabiki, inatakiwa kuwa siku ya kufurahi. Wachezaji wetu waliokuwepo na wapya watatambulishwa wote."

"Kila mchezaji atapata nafasi ya kucheza kwenye mchezo wa kesho isipokuwa wale waliochelewa na hawakufanya mazoezi. Wachezaji wawili Pascal Wawa na Luis Miquissone watakosekana kutokana na kupewa ruhusa maalum," alisema Sven

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
30m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’