Tiketi za Simba Day zinapatikana vituo hivi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
21 Aug 2020
Tiketi za Simba Day zinapatikana vituo hivi

Kesho Jumamosi ndio kilele cha Tamasha la Wiki ya Mabingwa, Simba Day ambapo Simba itashuka uwanja wa Mkapa kumenyana na Vital'o katika mchezo wa kutambulisha kikosi cha Simba

Tiketi kuelekea tukio hilo zinaendelea kuuzwa, mpaka sasa tiketi zinapatikana katika vituo vilivyoorodheshwa

1. Kibo Complex
2.Kimara Mwisho
3.Bunju B
4.Gongo la mboto _mwisho
5. Kitonyama TTCL
6. Sinza big bon
7. Karume TFF
8.Mbagara Dar live
9.Msimbazi SSC
10.Buguruni kituo cha kuuzia mafuta
11.Ubungo kituo cha kuuzia mafuta
12. Puma Mwenge
13. Kigamboni ferry
14. Mlimani City
15. Uwanja wa Mkapa
16.Mwenge
17.Temeke mwembe Yanga

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’