Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi klabu ya Simba Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' kesho Ijumaa atazungumza na wanahabari ofisini kwake jijini Dar es salaam
Taarifa iliyotolewa na Mo mwenyewe, Mkutano huo utafanyika saa sita mchana
"Kesho saa 6 mchana nitaongea na waandishi wa habari ofisini kwangu. Usikose"
ADVERTISE HERE