Wachezaji wa Simba leo wametembelea shule ya watoto wenye uhitaji maalum Uhuru Mchanganyiko ambapo wamepata nafasi ya kuzungumza nao pia kukabidhi misaada ambayo imetolewa na klabu kwa kushirikiana na Taasisi ya Mo Dewji




ADVERTISE HERE