Huyu Lechantre ni balaa aisee

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
2 Feb 2018
Huyu Lechantre ni balaa aisee
Kocha Mkuu wa Simba Pierre Lechantre anataka kufanya mapinduzi makubwa ndani ya kikosi cha Simba lengo likiwa kutwaa taji la ligi kuu ya Vodacom pamoja na kufanya vizuri kwenye michuano ya Kimataifa.

Kocha huyo anayependa soka la kushambulia tayari ameanza kuingiza filosofia yake kwenye kkosi cha Simba.

Jana Katika mazoezi ya Simba yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, Lechantre alisimamia suala la wachezaji wake kuucheza mpira zaidi.

Lechantre hupendelea soka la kushambulia zaidi na kujiamini ili kuwapa wapinzani wakati mgumu muda mwingi wa mchezo.

Mara kadhaa alikuwa akisisitiza wachezaji kujiamini lakini akawasisitiza zaidi kutokaa na mpira mguuni muda mwingi.

Simba inaendelea na mazoezi katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam ikiwa ni kujiandaa na mchezo ujao dhidi ya Ruvu Shooting keshokutwa.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
42m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’