Chama anakuja, Miquissone ana ruhusa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
20 Aug 2020
Chama anakuja, Miquissone ana ruhusa

Mkuu wa kitengo cha Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Haji Manara ametoa ufafanuzi kuhusu kuchelewa kwa baadhi ya wachezaji waandamizi, Clatous Chama na Luis Miquissone

Manara amesema Chama tayari ameondoka nchini Zambia kurejea nchini lakini Miquissone aliwaomba ruhusa anakwenda kuoa

"Miquissone aliomba ruhusu anakwenda kuchumbia hivyo tunatarajia atawasili baada ya kukamilisha zoezi hilo lakini kuhusu Chama, yuko njiani tayari," alisema Manara kwenye mahojiano na Sport Arena ya Wasafi FM

"Kumekuwa na maneno mengi kuhusu wachezaji hawa, Wanasimba msiyumbishwe na maneno ya mtaani. Miquissone na Chama wana mikataba na Simba na hawauzwi kokote, Miquissone atarejea siku mbili zijazo kuendelea kuwatumikia Mabingwa wa nchi"

Mashabiki 90,000 kushuhudia Simba Day

Katika hatua nyingine, Manara amesema siku ya Jumamosi wanakwenda kuandika historia kwa kujaza viwanja viwili, uwanja wa Mkapa unaochukua mashabiki 60,000 na uwanja wa Uhuru unaochukua mashabiki 30,000

Manara amesema wamedhamiria kudhihirisha ukubwa wa klabu ya Simba kwa kujaza viwanja hivyo vyote viwili

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’