Tiketi za tukio la kuhitimisha kilele cha wiki ya Mabingwa, Simba Day tayari zimeanza kuuzwa
Ni muhimu kujipatia tiketi mapema kwani mara nyingi tiketi huwa zinamalizika mapema
Uongozi wa Simba umetangaza kuanza kuuzwa kwa tiketi leo kupitia vituo vilivyoainishwa hapa chini;

ADVERTISE HERE