Baada ya kumuongezea mkataba kiungo Said Ndemla, klabu ya Simba imemuongezea mkataba kiungo mshambuliaji Hassan Dilunga
Taarifa iliyotolewa na Simba imesema kiungo huyo hauzwi na ataendelea kuwa Msimbazi kwa miaka miwili zaidi

ADVERTISE HERE