Ngao ya Jamii kupigwa August 30 Arusha

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
18 Aug 2020
Ngao ya Jamii kupigwa August 30 Arusha

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limethibitisha kuwa mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Simba dhidi ya Namungo Fc utapigwa mkoani Arusha August 30 kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid

Mchezo huo utazikutanisha Simba na Namungo kwa mara ya kwanza msimu huu, zikifunga msimu uliopita katika mchezo wa fainali kombe la FA, mchezo ambao Simba ilishinda mabao 2-1 na kutwaa taji la FA

Mchezo huo unaoashiria ufunguzi wa msimu mpya, utapigwa saa tisa na nusu Alasiri

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’