Ni Simba vs Vital'o Simba Day

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
18 Aug 2020
Ni Simba vs Vital'o Simba Day

Uongozi wa klabu ya Simba umeweka hadharani kuwa Vital'o ya Burundi imealikwa kwa ajili mchezo wa kilele cha wiki ya Mabingwa, maarufu Simba Day ambao utapigwa Jumamosi, August 22 Uwanja wa Mkapa

Awali kulikuwa na tetesi kuwa Zanaco ya nchi Zambia ingekuja kwa ajili ya mchezo huo lakini sasa ni rasmi, Vital'o wanakuja

Aidha viingilio vya mchezo huo maalum kwa ajili ya utambulisho wa kikosi cha Simba vitatangazwa kesho Jumatano

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
7h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
13h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
16h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’