Beki mpya wa mabingwa wa nchi Simba, Joash Onyango amewaita mashabiki uwanja wa Mkapa siku ya Jumamosi, August 22 katika kilele cha wiki ya Mabingwa, Simba Day
Beki huyo kisiki ambaye pia hucheza timu ya Taifa ya Kenya, Harambee Stars, ni miongoni mwa wachezaji wapya waliosajiliwa na machampioni hao wa Taifa hili
Hii itakuwa mara yake ya kwanza kushiriki Tamasha hilo la aina yake ambalo huwakutanisha Wanamsimbazi katika siku hiyo maalum ya kuukaribisha msimu mpya
Wachezaji wengine wapya ambao watapata fursa hiyo Bernard Morrison, David Kameta, Ibrahim Ame, Chris Mugulu, Larry Bwalya na Charles Ilanfya
ADVERTISE HERE