Walioingia na kutoka Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
18 Aug 2020
Walioingia na kutoka Simba

Mpaka sasa Simba ni kama imeshafunga usajili wake ikiwa imeongeza nyota wapya saba

Walinzi David Kameta, Joash Onyango na Ibrahim Ame wameingia kuchukua nafasi za Haruna Shamte, Tairone Santos na Yusuf Mlipili

Kiungo Larry Bwalya yeye ametua kuchukua nafasi ya Sharaff Shiboub wakati Bernard Morrison, Charles Ilanfya na Chris Mugalu wamechukua nafasi za Deo Kanda, Rashid Juma na Shiza Kichuya

Machampioni hao wa nchi wameanza mazoezi jana kujiandaa na kilele cha wiki ya Mabingwa siku ya Jumamosi wakitarajiwa kucheza na Zanaco Fc ya Zambia

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
2m ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’