Kikosi cha Simba leo kinaendelea na mazoezi ambapo kimehamia uwanja wa Uhuru kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Ruvu Shooting.
Kocha Mkuu wa Simba Pierre Lechantre ameongeza 'dozi' ya mazoezi kwa wachezaji wake ili kuhakikisha kikosi kinakuwa tayari kwa ajili ya mchezo huo unaotarajiwa kupigwa Jumapili, Februari 04.
Aidha baada ya mchezo huo Simba inakabiliwa na mchezo mwingine dhidi ya Azam FC Jumatano ijayo, Februari 07.
Baada ya mchezo dhidi ya Azam FC Simba itahamishia majeshi kwenye michuano ya kombe la Shirikisho ambapo Jumapili ya Februari 11 itakuwa mwenyeji wa Gendarmarie ya Somalia kwenye uwanja wa Taifa.

ADVERTISE HERE