Manara aomba kupumzika Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Aug 2020
Manara aomba kupumzika Simba

Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Haji Manara amesema muda si mrefu atakaa pembeni kwenye masuala ya uongozi kutokana na Afya yake kutokuwa sawa

Manara alifichua uamuzi huo jana wakati wa dua maalum iliyofanywa na klabu ya Simba kuelekea msimu mpya

Hata hivyo Manara amesema ataendelea kuhamasisha akiwa nje ya uongozi

"Kutokana na afya yangu kutokuwa sawa, nakusudia kuwaambia viongozi wangu waniache nipumzike kidogo. Nitafanya hivyo siku si nyingi. Hata hivyo nawaahidi, nitaendelea kuwa nanyi nje ya uongozi hivyo msiwe na wasiwasi," alisema Manara

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’