Ni siku tano tu zimebaki kuelekea kilele cha wiki ya Mabingwa, pale Tamasha kubwa la Simba Day litakapofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam
Hili sio tukio la kukosa, kwani historia nyingine itaenda kuandikwa siku hiyo ya Jumamosi
Wachezaji wa Simba wameanza rasmi mazoezi leo kujiandaa na siku hiyo iliyoasisiwa na Simba miaka 11 iliyopita na sasa timu nyingine zimeanza kuiga
ADVERTISE HERE