Simba kuanza mazoezi leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Aug 2020
Simba kuanza mazoezi leo

Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba leo kinaanza maandalizi ya msimu mpya

Aidha mazoezi hayo yataiandaa timu tayari kwa mchezo wa kufunga Wiki ya mabingwa Jumamosi, August 22 2020 na kufuatiwa na mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Namungo Fc August 29

Kwa mara ya kwanza, mazoezi hayo yatawajumuisha nyota wapya waliosajiliwa na mabingwa hao wa nchi

Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck aliwasili siku ya jana tayari kuendelea na majukumu yake

Mabingwa hao wa nchi wanatarajia kuingia kambini leo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
7h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’