Kocha Mkuu wa mabingwa wa nchi Sven Vandenbroeck amerejea leo kutoka mapumziko kwao Ubelgiji akienda huko baada ya kufanikiwa kuipa Simba mataji mawili, ligi kuu ya kombe la FA
Sven anatarajiwa kuanza kuwanoa vijana wake siku ya kesho Jumatatu tayari kwa mikiki mikiki ya msimu mpya
Kikosi cha Simba kinatarajiwa kuanza mazoezi kesho mabingwa hao wa nchi wakitarajiwa kuingia kambini moja kwa moja
ADVERTISE HERE