Rasmi Chris Mugalu ni mchezaji wa Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 Aug 2020
Rasmi Chris Mugalu ni mchezaji wa Simba

Mabingwa wa nchi Simba wametambulisha usajili wa mshambuliaji Mcongomani Chris Mugalu kutoka klabu ya Lusaka Dynamos ya nchini Zambia

Tetesi za nyota huyo kutua Mitaa ya Msimbazi zilianza kuvuma jana baada ya usajili wa kiungo Larry Bwalya ambaye ndiye aliyefichua ujio wa Mugalu

"Scout wa Simba, benchi letu la ufundi, makocha wa Zambia na Congo wote wamekubaliana kwamba kama Simba inataka kupigania taji la Ubingwa wa Afrika ni lazima iwe na mshambuliaji mwenye uwezo kama Chris Mugalu."

β€ͺ"Kocha Micho ambae ni kocha wa timu ya taifa ya Zambia kwa sasa aliposikia tunamsajili Chris, alisema sasa Simba inakwenda kufanya kitu Afrika."

β€ͺ"Ni mshambuliaji wa viwango vya juu katika ukanda huu wa Afrika. Ni killer ni bull ni animal nje na ndani ya box. Nadhani mtaelewa focus yetu. ‬
β€ͺUna Bocco, una Kagere na una Mugalo kwa hapa nyumbani mtatusamehe tu wenzetu katika ushindani," taarifa ya Simba imesema!

Bila shaka usajili huu umemaliza mahitaji ya safu ya ushambuliaji ya mabingwa hao wa nchi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’