Wapenzi, Wanachama na Mashabiki wa klabu ya Simba wamejitokeza kwa wingi Mtaa wa Msimbazi yalipo Makao Mkuu ya Mabingwa hao wa nchi kushiriki tukio la usomaji wa dau kwa ajili ya kuombea msimu mpya
Simba imekuwa na utaratibu wa kufanya dua hilo kabla ya kuanza msimu mpya




ADVERTISE HERE