Maproo watatu kukatwa Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 Aug 2020
Maproo watatu kukatwa Simba

Mpaka sasa mabingwa wa nchi Simba wamekamilisha usajili wa nyota watatu wa kigeni Bernard Morrison, Joash Onyango na Larry Bwalya

Wachezaji wa kigeni waliokuwepo msimu uliopita ni Luis Miquissone, Tyrone Santos, Francis Kahata, Clatous Chama, Meddie Kagere, Gerson Fraga, Pascal Wawa, Deo Kanda na Sharaf Shiboub

Mpaka sasa orodha ya nyota wa kigeni ni 12 na inaelezwa yupo mwingine ambaye anaweza kutambulishwa leo kufanya idadi ya wachezaji hao kuwa 13

Ni rahisi kusema beki Tyrone Santos anasepa, lakini pia Deo Kanda nae inaelezwa hayuko katika mipango ya msimu ujao

Kiungo Sharaff Shiboub nae mkataba wake umemalizika na inaelezwa tayari uongozi wa Simba umemruhusu akatafute changamoto sehemu nyingine

Uongozi wa klabu ya Simba umesema utaweka hadharani majina ya wachezaji ambao wataachana nao

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
7h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
13h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
16h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’