Baada ya tukio la dua kukamilishwa mishale ya saa saba mchana, Simba itaendelea na zoezi la utambulisho wa wachezaji wapya waliosajiliwa na mabingwa hao wa nchi
Saa nane mchana kuna mchezaji atatambulishwa lakini pia mwingine atatambulishwa saa 11 jioni
Mpaka sasa wachezaji watano wametambulishwa ambao ni Bernard Morrison, Charles Ilanfya, Joash Onyango, David Kameta na Larry Bwalya
Leo huenda usajili wa mshambuliaji mmoja wa kigeni utawekwa hadharani, je ni nani? Tusubiri..
ADVERTISE HERE