Simba kufanya dua Msimbazi leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 Aug 2020
Simba kufanya dua Msimbazi leo

Kama ilivyo kawaida ya kila mwanzo wa msimu, leo klabu ya Simba itaendesha dua ya kuiombea klabu ya Simba

Dua hiyo itafanyika Makao Mkuu ya klabu hiyo, Mtaa wa Msimbazi jijini Dar es salaam

Watakaohusika kwenye dua hiyo ni Wanachama na Mashabiki ambao watawakilishwa na viongozi wa Matawi

Tukio hilo litafanyika saa saba mchana

"Mafanikio huja kwa kumtanguliza Mwenyezi Mungu, na sisi SIMBA kama ilivyo kawaida yetu tunaanza na Mungu na kumaliza na Mungu"

"Leo tutafanya dua ikiwa ni sehemu ya WIKI YA MABINGWA kumuomba Mungu atutangulie kwenye msimu mpya," taarifa ya klabu ya Simba

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
7h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
13h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
16h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’