Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi klabu ya Simba Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' amemkaribisha kiungo Larry Bwalya katika kikosi cha mabingwa wa soka wa nchi hii
Usajili wa Larry umekuwa kama sapraizi kwa mashabiki wa Simba kwani tetesi nyingi zilikuwa zikimuhusisha zaidi na Yanga

Inaelezwa hii ilikuwa trela tu, kesho Jumapili kutakuwa na utambulisho wa usajili funga kazi
Msimbazi kunazidi kunoga, haya ni maandalizi kuelekea michuano ya ligi ya mabingwa kwani mpaka sasa Simba haionekani kuwa na mpinzani kwenye ligi ya hapa Bongo
ADVERTISE HERE