Simba imetambulisha usajili wa kiungo 'kisheti' Larry Bwalya aliyepokwa mdomoni mwa klabu ya Yanga
Inaelezwa fundi huyo ilikuwa apokewe na viongozi wa Yanga mapema leo lakini Simba wakamuwahi juu kwa juu na kumpa mkataba
Wakala wake ni yuleyule wakali wa Clatous Chama, na ndiye aliyefanikisha umafya uliofanyika
Bwalya hucheza timu ya Taifa ya Zambia na alikuwa akiitumikia klabu ya Power Dynamos nchini humo

Karibu Msimbazi Fundi...!
ADVERTISE HERE