Bosi mwenyewe Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' amewaambia mashabiki wa Simba wakae tayari kwani siku ya leo mishale ya saa 11 jioni kutakuwa na sapraizi
Je nani anatambulishwa? je ni yule waliyekuwa wanatamba kumsajili, Mzambia Larry Bwalya?

ADVERTISE HERE