Wanachama na Mashabiki wa klabu ya Simba wamejitokeza maeneo mbalimbali kufanya usafi katika maadhimisho ya wiki ya Mabingwa
Kwa jijini Dar es salaam, mashabiki wamejitokeza fukwe za Bahari ya Hindi kuungana na uongozi wa Simba kufanya usafiri




ADVERTISE HERE