Simba yaanza na usafi fukwe Bahari ya Hindi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
15 Aug 2020
Simba yaanza na usafi fukwe Bahari ya Hindi

Maadhimisho ya Wiki ya Mabingwa yameanza rasmi jana Ijumaa ambapo leo, itakuwa siku maalamu kwa Wanasimba kufanya usafi katika maeneo mbalimbali nchini

Kwa jijini Dar es salaam, usafi utafanyika kwenye fukwe za Bahari ya Hindi tukio hilo likihudhuriwa na Mh Iddi Zungu ambaye ni mgeni wa heshima

Uongozi wa klabu ya Simba umewaasa wadau wote wa klabu hiyo popote walipo hapa nchini washiriki zoezi la kufanya usafi katika maeneo yanayowazunguuka

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
2h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
14h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
20h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
22h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’