Simba imetambulisha rasmi usajili wa mshambuliaji Charles Ilanfya kutoka klabu ya KMC
Huu ni usajili uliopendekezwa na kocha Sven Vandenbroeck mwenyewe
"Kocha wetu Sven alipomuona uwanjani kwa mara ya kwanza Charles Ilamfia akawaambia uongozi msajilini huyu kijana. Miguu yake itatupa kitu Msimbazi. Ni tumaini la baadae katika soka la nchi hii hususani upande wa washambuliaji. Tumemsajili mshambuliaji huyu toka KMC ya Kinondoni. Karibu Charles ukawape changamoto kaka zako Bocco. na Kagere"


ADVERTISE HERE