Uongozi wa klabu ya Simba umetambulisha rasmi nembo mpya ya klabu hiyo ambayo imeanza kutumika rasmi kuanzia leo
Mchakato wa kupata nembo mpya ulitangazwa mwishoni mwa mwaka uliopita wadau wa klabu ya Simba wakipewa nafasi ya kubuni nembo hiyo
Sasa ni rasmi hii ni nembo mpya ya Simba

ADVERTISE HERE