Simba yamtosa Sarpong

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
13 Aug 2020
Simba yamtosa Sarpong

Kuna wakati mabingwa wa nchi Simba walihuishwa kuiwania saini ya mshambuliaji wa zamani wa Rayon Sport Mghana Michael Sarpong

Inaelezwa tayari matajiri hao kutoka mitaa ya Kariakoo walikuwa wameshampa mkataba wa awali Sarpong ambaye kwa sasa ni mchezaji huru baada ya mkataba wake na Rayon kuvunjwa kutokana na sintofahamu iliyotokea kati ya mchezaji na timu

Lakini baada ya Simba kumnasa winga Bernard Morrison, mabingwa hao wa nchi wameachana na mpango wa kumsajili Mghana huyo

Hata hivyo inaelezwa Simba iko sokoni ikisaka mshambuliaji ambao atakuwa na uwezo wa juu zaidi ya hawa waliopo

Mara kadhaa mshambuliaji Mzambia Justine Shonga anayekipiga klabu ya Orlando Pirates amehusishwa kutua Msimbazi

Bado mpango wa kuipata saini yake haujafutika

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’