Ndivyo Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Haji Manara alivyomkaribisha 'kibabe' winga mpya Bernard Morrison ambaye jana tu aliwagaragaza Yanga mbele ya Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji na kutangazwa kuwa mchezaji huru akiwa tayari amejiunga na Simba
Ukiangalia uso wa Morrison utabaini huku ndiko alitakiwa kuwepo tangu mwanzo, kule kwingine alikuwa amepotea njia...!
Tangu sakata lake limalizike, Morrison ameonekana kuwa mchezaji mwenye furaha na hakuna shaka, anajisikia furaha kujiunga na Machampioni wa nchi
Huku kwetu ni mwendo wa makombe tu...!
ADVERTISE HERE