Uongozi wa klabu ya Simba siku ya kesho Ijumaa pamoja na mambo mengine, watazindua jezi mpya zitakazotumika msimu ujao kwenye ligi kuu ya Vodacom pamoja na michuano mingine
Tukio hilo litakwenda sambamba na uzinduzi wa logo mpya ya mabingwa hao wa nchi
Lakini pia kampeni rasmi ya kuwapa jezi mashabiki wa klabu ya Simba itazinduliwa kwa ushirikiano wa Sportpesa, watajishindia jezi mpya pamoja na tiketi zitakazowawezesha kushuhudia kilele cha wiki ya mabingwa August 23
ADVERTISE HERE