Kesho Alhamisi, uongozi wa klabu ya Simba utakuwa na Mkutano na Wanahabari ambao utafanyika Hoteli ya Serena jijini Dar es salaam
Mkutano huo utaanza saa tano na nusu Asubuhi
Huenda Simba ikamtangaza mrithi wa nafasi ya Senzo Mazingisa aliyetimkia Yanga
ADVERTISE HERE