Mo amkaribisha Morrison Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Aug 2020
Mo amkaribisha Morrison Simba

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi klabu ya Simba Bilionea Mohammed Dewji amemkaribisha mshambuliaji mpya wa timu hiyo Bernard Morrison lakini akimtaka azingatie misingi ya nidhamu ambayo klabu ya Simba imejiwekea

Morrison amekuwa rasmi mchezaji wa Simba baada ya kuwagaragaza mabosi wake wa zamani Yanga kwenye shauri la mkataba mpya aliodaiwa kusaini na klabu hiyo ambao aliukana

"Karibu Simba, Bernard Morrison. Tunaamini utakuja kuwa sehemu ya kuendeleza na kukuza misingi tuliyojiwekea ya Nidhamu, Kujituma na Kujali Maslahi ya Klabu kwa ujumla," aliandika Mo kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii

Ujio wa Morrison umefanikishwa kutokana na umahiri wa timu ya usajili ya klabu ya Simba ambayo ilichukua hatua ya kumsajili haraka baada ya kubaini mapungufu kwenye mkataba wake na Yanga

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’