Yanga, Simba ruksa kutumia uwanja wa Taifa mwezi wa pili

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
•
31 Jan 2018
Yanga, Simba ruksa kutumia uwanja wa Taifa mwezi wa pili
Vigogo wa soka Tanzania Bara, Simba na Yanga watacheza michezo yao yote ya nyumbani ndani ya mwezi, Februari kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam badala ya Uhuru.

Mbali na kuwa na matumizi ya uwanja huo wa Taifa lakini pia Simba na Yanga watakuwa wanatumia pia uwanja wa Uhuru kama uwanja wao wa nyumbani kwa baadhi ya michezo yao ya Ligi Kuu Bara.

Mtendaji Mkuu wa Bodi ya ligi, Boniface Wambura amesema mawasiliano waliyoyafanya na wizara, wamepata mwongozo wa namna Uwanja wa Taifa utakavyotumika kwa mwezi, Februari.

“Mchezo wa Februari, 4 kati ya Simba na Ruvu Shooting, Februari,6 Yanga dhidi ya Njombe Mji, Februari, 7 kati ya Simba na Azam, Februari, 14 ambapo Yanga itacheza na Majimaji, Februari, 26 Simba na Mbao zote zitachezwa uwanja wa Taifa.

“Pia na ile michezo ya kimataifa kwa timu zote mbili itachezwa kwenye uwanja huo,” alisema Mtendaji huyo mkuu wa Bodi ya Ligi.

Mwanaspoti
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1m ago
READ MORE →
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE →
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE →
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE →
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE →
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE →
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE →
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE →
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE →