Morrison ni mchezaji huru

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Aug 2020
Morrison ni mchezaji huru

Winga Bernard Morrison ametangazwa kuwa mchezaji huru baada ya kushinda shauri lake la mkataba dhidi ya Yanga

Hukumu ya shauri hilo imechukua siku mbili, Wajumbe wa Kamati ya Sheria na Hadhi za wachezaji wakivutana kutoa maamuzi

Lakini kulingana na ushahidi uliowasilishwa na Morrison, imeonekana nyota huyo raia wa Ghana mkataba wake na Yanga una kasoro

Mwenyekiti wa kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji, Elias Mwanjala, amesema mkataba wa Yanga na Morrison, una mapungufu makubwa

Kwa maana hiyo ni mchezaji huru na ruksa kusajiliwa na klabu ya Simba

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
5h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
8h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’