Mkurugenzi wa Mashabiki na Wanachama Simba asimamishwa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Aug 2020
Mkurugenzi wa Mashabiki na Wanachama Simba asimamishwa

Taarifa kutoka ndani ya uongozi wa Simba zimebainisha kuwa Mkurugenzi wa Mashabiki na Wanachama Hamishu Mbaga amesimamiswa nafasi yake kwa kile kinachoelezwa kuvujisha taarifa za ndani za klabu

Inaelezwa nafasi yake huenda ikakaimiwa na Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Haji Manara

Hata hivyo bado hakuna taarifa rasmi iliyotolewa na uongozi wa Simba

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mangungu aibuka, apinga mchakato wa uchaguzi Simba
Mangungu aibuka, apinga mchakato wa uchaguzi Simba
33m ago
READ MORE β†’
Tutapambana tuvuke mtoano - Barker
Tutapambana tuvuke mtoano - Barker
1h ago
READ MORE β†’
Matchday; Fountain Gate vs Simba, NBC PL
Matchday; Fountain Gate vs Simba, NBC PL
3h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
21h ago
READ MORE β†’
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
1d ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’