Matola haendi kokote

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Aug 2020
Matola haendi kokote

Kumekuwa na tetesi nyingi zinazomuhusu kocha msaidizi wa Simba Selemani Matola kuwa anatakiwa na klabu ya Azam Fc

Hata hivyo taarifa za uhakika kutoka ndani ya uongozi wa Simba zimebainisha kuwa mabingwa hao wa nchi hawana mpango wa kumuachia nahodha wao huyo wa zamani

Inafahamika Azam Fc wamefanya Mawasiliano nae wakimshawishi akawe sehemu ya benchi lao la ufundi

Mafanikio yake aliyopata katika timu mbalimbali alizopita inatajwa kuwa sifa kuu inayowafanya matajiri hao wa Azam wamuwanie

Simba haina mpango wa kufanya mabadiliko ya benchi la ufundi kama ilivyodhaniwa mwanzo hivyo hawatakuwa na sababu ya kumruhusu Matola aondoke

Zaidi uongozi wa Simba umepanga kumruhusu Matola aende akasome ili aweze kupta leseni A itakayomuwezesha kuwa kocha mkuu

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’