Senzo hawezi kutuyumbisha

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
10 Aug 2020
Senzo hawezi kutuyumbisha

Mkuu wa kitengo cha Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Haji Manara amesema brand ya Simba ni kubwa kuliko mtu yeyote hivyo kuondoka kwa aliyekuwa Mtendaji Mkuu Senzo Mazingiza lisichukuliwe kama jambo kubwa sana

Akihojiwa na Wasafi FM mapema leo, Manara alisema Senzo alikuwa mtu mmoja kwenye taasisi, ameamua kuondoka, wanamtakia heri lakini katu hawezi kuacha pengo lolote

"Ameondoka yeye lakini timu si inabaki kuendelea na maisha yake kwani ameondoka na timu? Simba ni kubwa kuliko mtu yoyote ameondoka hatumsemi vibaya shughuli zitaendelea hakuna jambo lolote ambalo linatutikisa.

"Simba ipo muda mrefu kabla ya Senzo, hata kama ameondoka bado Simba itazidi kuendelea kuwepo hakuna shabiki ambaye alitikisika hakuna kiongozi ambaye alitikisika eti kwa sababu yeye ameondoka"

"Simba ni kubwa sana, sio yeye tu tutaondoka sisi wote lakini Simba itaendelea kubakia," alisema Manara

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
4h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
8h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
14h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’