Uongozi wa klabu ya Simba umemtaka aliyekuwa Mtendaji wake Senzo Mazingiza ajieleze kwa mambo ambayo hakuyakamilisha
Aidha raia huyo wa Afrika Kusini ametakiwa akabidhi ofisi haraka iwezekanavyo
Taarifa iliyotolewa na Simba, imesema kuanzia sasa klabu haitahusika na jambo lolote linalohusiana na Simba ambalo litafanywa na Senzo
Simba imewashukuru mashabiki wake kwa kuonyesha utulivu huku ikiwa mbioni kumtangaza Kaimu Mtendaji Mkuu
ADVERTISE HERE